Klabu ya soka ya simba ya jijini dar es salaam imekamilisha dili la kumsaini msengali Pape Abdoulaye Ndaw rai wa senegali kwa ada ya shilingi millioni 20 kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Akizungumza na SANGUJ msemaji mkuu wa simba Haji Manara amesema kuwa timu hiyo baada ya kukamilisha dili la kupata saini ya mshambulaji huyo sasa itaelekea mkoani Tanga siku ya alhamisi ili kujiandaa na michezo yake miwili katika uwanja wa mkwakwani ikiweno dhidi ya African sports kwa ajili ya ufunguzi wa ligi kuu soka ntanzania bara
Aidha Manara amesema kuwa wapenzi wa timu ya simba wategemee ushindi katika mechi ya kwanza ya ligi kuu itakayofanyika siku ya jumamosi kabla ya kuivaa Mgambo shooting katikati ya wiki ijayo
Aidha Manara amesema kuwa wapenzi wa timu ya simba wategemee ushindi katika mechi ya kwanza ya ligi kuu itakayofanyika siku ya jumamosi kabla ya kuivaa Mgambo shooting katikati ya wiki ijayo
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment