Mcheza tenis nambari moja kwa upande wa wanawake serena
william anatarajia kukutana na ndugu yake Venus William baada ya
kumfunga mmarekani mwenzake Madison Keys kwa seti 2
Serena ambae mwenye miaka 33 pia ni bingwa mara 7 michauno ya Us Opens kuanzia mwaka 1999 alijihakikishia kukutana na dada yake baada ya kushinda kwa pointi 6-3 6-3
Kwa upande wa dada mtu Venus William ametinga katika hatua hiyo ya robo fainali baada ya kumfunga mpinzani wake Anett Kontaveit raia wa Estonia kwa seti 6-2, 6-1
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment