MURRAY ATINGA 16 BORA #USOPENS


Muingereza Andy Murray ametinga katika hatua ya 16 bora kwenye michuano ya US open inayoendelea nchini marekani kwa kumgalagaza mbrazii Thomaz Bellucci

Murray alikuwa akihitaji seti tano kushinda duru yake ya awali lakini kwa ushindi wa seti 6-3 6-2 7-5 mjini New York ulifanya mambo yawe mepesi kwake.

Kwa ushindi huo atakipiga dhidi ya Kevin Anderson wa Afrika ya Kusini katika hatua ya kumi na sita bora siku ya juma

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment