Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ametemwa na katika kikosi cha timu ya taifa hispania iliyochini ya kocha wake mkuu Vicente de Bosque kwenye mechi yake ya kufuzu kwa michuano ya ya mataifa ya ulaya. Oktobar 9 mwaka huu.
kwa mujibu wa kocha mkuu wa hisoana mchezaji huyo hatomuhisiha katika kikosi chake kitakachoumana dhidi ya Ukraine
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment