Siku ya tarehe 25/10/2013 katika chuo kikuu cha Iringa kulifanyika mahafali ya kumi na sita (16) kwa ajili ya kuwatunuku vyeti kwa wahitimu wa ngazi ya Stashahada,Astashada,Shahadana, Masters. Katika sherehe hiyo kuliambatana na kubadilishwa kwa jina la chuo hicho kutoka Chuo kikuu cha Tumaini na kuwa Chuo kikuu cha Iringa.
Katika sherehe hiyo mamia ya wanavyuo walihudhuria katika hayo mahafali ya kumi na sita(16) ya na kubadilishwa kwa jina kutoka Chuo kikuu cha Tumaini mpaka Chuo kikuu cha Iringa.Pia mgeni rasmi katika sherehe hiyo ailikua Mh.Prof.Kaslau ambae ni Mwanamama wa kwanza Tanzania kushinda tuzo ya Nobel kwenye masuala ya afya.
Hao ni bahadhi ya wahitimu wa Chuo kikuu cha Iringa zamani kama Chuo
kikuu cha Iringa kitivo cha FASS(Faculty of Arts and Social Science).
Mr.Nduye(Admission Officer of Iringa University) akiongea na mmoja wa wazazi wa wahitimu.
(Chrispin Nyomoe ni mmoja kati ya wahitimu wa Shahada ya Uandishi wa habari)
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment