NEW VIBE MAGAZINE

Master J:
Alipotoka na anapoelekea


As we Speak ni mmoja kati ya majudge wa
epiq bongo star search na CEO wa MJ Records


 [zijue sehemu hizi]
Colosseum inaweza kuchukua
watazamaji 45,000.
Colosseum
As we Speak ni mmoja kati ya majudge wa
epiq bongo star search na CEO wa MJ Records
Master J
Music Producer
Colosseum
Rome,Italy
Baada ya kupata shahada
yake ya electronics mwaka
1989 huko Uingereza
Master j aliamua kurudi
nchini ili kutoa mchango
wake katika taifa hili
linalokua kwa speed ya
hatari katika muziki na
hapo ndio MJ Production
ilipoanza.
baba yake master J aliona
kama muziki unampoteza
muda mwanaye ila pamoja
na vikwazo kutoka kwa
baba a.k.a Mzee Kimario
lakini legend huyo aliamini
katika kile anachokifanya
na mwisho wa siku
alianza kukifanya anachokiamini.
Kikubwa kilichomfanya
Legend huyo kutoka katika
kutengeneza Beat ni
soko la muziki kubadilika
“Sasa hivi mtu akiwa na
computer yake anaanzisha
studio chumbani ndio
maana unakuta single haiwezi
kukaa kwa mda mrefu
zinakuwa kama bubblegum
unatafuna mara moja
imeisha utamu” said Master
Jay.
Master J anatofautisha
kati ya Mzalishaji
na mtengeneza mdundo
{Producer na Beat maker}
. Muziki ni biashara na
yeye bado yupo kwenye
kusimamia biashara yake
ya muziki, as we speak
ni mmoja kati ya majudge
wa Epiq Bongo Star
search na pia ni CEO wa
Mj Record .
huu ni ukumbi mkubwa wa wazi
wenye uwanja mkubwa ndani yake katikati
ya jiji la Rome, Italy. colosseum
imejengwa kwa saruji na mawe na ndio
kubwa zaidi katika rome empire.
colosseum inaweza kuchukua watazamaji
45,000.Kwasababu ya moto na matetemeko
2 ya 3 ya colosseum imeharibika.
Sehemu ambayo watu watakaa
ilikua imepagwa na katiba ya Roma na
siti nzuri zilishikiliwa na maseneta.
juu ya uwanja walikaa wafugwa na wanawake.
hypogeum ilikua ni njia ya
chini ya kuingilia wapiganaji na wanjama
pia. colossuem ina milango 76 ya
kuingizia maelfu ya watu.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment