WAMBURA; VIWANJA 7 TAYARI KWA LIGI KUU



Ikiwa zimebaki zaidi ya wiki tatu kufunguliwa kwa pazia la ligi kuu soka Tanzania bara maandalizi mbalimbali ikiwemo urekebishaji wa viwanja vitakavyotumika katika ligi hiyo yameendelea kwenye mikoa mbalimbali

akizungumza na SANGUJ ofisa mtendaji mkuu bodi ya ligi Bornface Wambura amesmea kuwa mpaka sasa viwanja saba vimeshaklamilika tayari kwa ligi kuu ya msimu huu vikiwemo viwanja vya  kamabarage ,manungu  , Sokoine, Nyrere, Mabatini , pamoja na uwanja wa mwadui mkoani mwanza.

Aidha wambura amesema kuwa bodi hiyo imeongeza muda wa timu zinazoshiriki kwenye ligi hiyo ya vodacom kukagua  na kuiviandaa viwanja vyao kabla ya kufikia agost 30 mwaka huu ambapo awali ikuwa agost 15

katika hatua nyngine wambura  amesma kuwa bodi hiyo haijapokea malamiko yoyote kutoka kwa mabingwa soka tanzania bara timu ya yanga bali  wamepokea maombi ya kubadilidshiwa ratiba kutoka kwa timu ya Lipuli pamoja na  TZ prisons

ligi kuu ya soka Tanzania bara inaanza kurindima september 12 mwaka huu ikishirikisha timu 16 kutoka upande wa tanzania bara, huku ligi kuu ya daraja la kwanza ikianza septmber 19 wakati daraja la pili ikianza oktoba 31.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment