STAR TV KUONESHA LIGI DARAJA LA KWANZA #2015/16 (Pichaz)


Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania limeingia mkataba wa miaka 3 na kampuni ya Sahara Media wenye ya shilingi milioni 450 kwa ajili ya kuonesha mechi za ligi daraja la kwanza
 
Makubaliano hayo yatatoa fursa kwa vilabu vinavoshiriki ligi hiyo kwa kupokea kiasi cha shilingi milioni 15 kila timu kwa kila msimu ili kujikimu na mahitaji yake wakati wote wa michuano hiyo.

Rais wa shirikisho Tff Jamal Malinzi amebainisha kuwa mkataba huo utaleta fursa kwa vilabu vinavoshiriki ligi hiyo kupata wadhamini wengi zaidi 

Kwa upande wake Mkurugenzi mkuu wa Sahara Media amesema udhamini huo ni hatua nyingine ya kampuni hiyo kukuza na kuendeleza  soka Tanzana

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment