Msanii m,aarufu wanyimbo za Hiphop Izzo Biziness amewataka wasanii wanojikita katika siasa kuhakikisha wanahamasisha wanachi kuwachagua viongozi ambao watakuwa waasisi wa utunzaji wa amani iliyopo hapa nchini.
Akizungumza na SANGUJ leo kupitia Chanel Ten amesema ni kweli wasanii wanamchango mkubwa katika kuakikisha mgmbea wa urais anapatikana kutokana kuwa na uwezo wa kuwafikia wananchi kupitia kazi zao.
Kuusiana na tabu wanazozipata kama wasanii kushiriki katika siasa amesema kunapelekeakuwa gawa mashabiki wao kutokana na baadhi ya yao kutoviunga mkono vile vyama ambavyo wasanii hao wamekuwa wakiviunga mkono
Mkali huyo pia kutoka jijini Mbeya amesema kuwa ni haki ya ya kila msanii muhimu ni kuhakikisha wanafanya kazi yao ya uburudishaji nasi kuwatukana baadhi ya wagombea.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment