Wakizungumza na SANGUJ baadhi ya mashabiki wa mabingwa hao wa ligi kuu soka Tanzania bara kutoka katika tawi la MAJUMBA 6 jijini Dsm wamesema kuwa kuondoka kwa kocha huyo ndani ya Klabu hiyo huenda kukaleta Athari kutokana na Kocha Mkaswa kuwa ni kiongozi mzuri kwa wachezaji wa timu hiyo.
Kuhusiana na Nani awe Mrithi wa kocha huyo Mashabiki hao wamesema kuwa timu kwa sasa wanamuhitaji Minziro ndio aweze kushika mikoba ya kocha Mkwasa
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment