KAMPENI;LOWASA NIKIWA RAIS NITASHUGULIKIA TATIZO LA UMEME




Mgombea  urais kupitia tiketi ya chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi ukawa, Edwrad Lowasa ameahidi endapo atafanikiwa kuwa Rais wa awamu ya tano  atadhibiti tatizo la mgao wa umeme ambao umekuwa changamoto kubwa kwa nchi na wananchi.

Edward lowasa akiwa  katika wilaya za same na mwanga amehutubia mikutano ya hadhara katika maeneo ya hedaru,ndungu, same na mwanga mjini  anaonekana kuchukizwa na kero hiyo  sugu na ahadi zisizotekelezeka za kutatua kero hiyo ya umeme ambapo amesema serikali yake atakayoiunda itahakikisha inadhibiti kikamilifu swala la mgao wa umeme.




Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment