KAMPENI;LOWASA WATANZANIA CHANGAMKIENI FURSA


Mgombea urais kwa tiketi ya chadema anaewakilisha ukawa Edward Lowasaa amewataka watanzania kujifunza kutumia   fursa zinazopatikana katika jumuiya ya Afrika Mashariki.

Edward lowassa ambaye ameendelea na ziara yake ya mikutano ya kampeni ya kuomba ridhaa ya watanzania kumchagua kuwa rais  kwa siku ya pili yupo mkoani arusha amefanya mikutano eneo la ngaramtoni,longido na mpaka wa  namanga amesema anataka watanzania kujifunza kutoka nchi jirani ya kenya kwa namna ambavyo wamekuwa wakichangamkia fursa zilizopo katika jumuiya hiyo.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment