Klabu ya soka ya Liverpool imemteua aliekuwa kocha wa Borrusia Dortmund Jurgen Klopp kuwa ndie meneja wake mpya takaekinoa kikosi hicho kwa mkataba muda wa miaka 3.
Klopp ambae ni raia wa Ujerumani mwenye miaka 48 anachukua nafasi ya Brendan Rodgers aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuifunisha timu hiyo kwa miaka mitatu na nusu.
Kocha haya sasa Anatarajiwa kuanza kazi kwenye klabu hiyo ya Liverpool na benchi la lake la ufundi alilkuwa akifanya nalo kazi akiwa katika ligi ya Bundesliga.
Kabla ya kujiunga na kikosi hicho Klopp amekuwa nje ya soka tokea mwezi Mei mwaka huu baada ya kuitumikia Borussia Dortmund kwa misimu saba aliypjiunga nayo tangu mwaka 2008. na kufanikiwa kunyakuwa vikombe viwili vya ligi kuu ya Ujerumani.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment