RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WATU KUMUAGA MCH MTIKILA #RIPMCHMTIKILA


Rais Jakaya Kikwete , leo ameongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party - DP  Mchungaji Christopher Mtikila , aliyefariki kwa ajali ya gari jumapili iliyopita maeneo ya kibaha mkoani Pwani.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti , viongozi mbalimbali wa juu wa serikalini pamoja na viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa nchini, wamemuelezea Mchungaji Mtikili kuwa alikuwa na mchango mkubwa katika kukomaza demokrasia na siasa ya Tanzania, hivyo kuondoka kwake taifa litaukosa mchango wake hasa wakati huu ambapo ulikuwa unahitajika sana.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment