Kocha wa arsenal Arsene Wenger amekiri kufurahishwa na kiwango
kilichoneshwa na timu yake kufuatia kuishusia kichapo cha goli 3-0 timu wapinzani wake kutoka jiji la Manchester, Manchester united.
Wengeramesema kuwa kikosi chake kilikuwa bora kuanzia kwa mlinda mlango wakePetri Cech mpaka kwa mshambuliaji Theo Walcot kwa kuishangaza Man united ndani ya dakika 20 za mwanzo na kuweza kupata magoli ya haraka.
Wengeramedai kuwa ni muda mrefu tangu anoe kikosi ambacho kimeweza kufanya vizuri ndani ya michezo 60 bila kushukua kiwango na kusema kuwa matokeo
hayo yanawaweka katika nafasi nzuri ya kuwaia taji la ligi kuu ya
uingereza wakiwa nyuma ya Manchester city ka alama 2.
Arsenal walipata ushindi kupitia kwa Alexis Sanchez aliefunga mabao mawili katika dakia ya 6, na 19 na jingine likifungwa na na kiungo Mesut Ozil dakika ya 7.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment