1-Kwanaza angalia jina la mgombea wako bna mgombea mwenza wake unaehitaji kumipigia kura pamoja na chama chake.
Mfano; EDWARD LOWASA, JUMA DUNI --CHADEMA
Mfano;JOHN P MAGUFULI, SAMNIA SULUHU--CCM
2- Hakikisha ndio huyo unaehitaji kumpigia kura. kwa kuweka alama ya Tiki. au (Pata) kwenye hicho chuma 4kilichokuwa wazi baada ya picha ya wagombea na chama chake.
Mfano; EDWARD LOWASA, JUMA DUNI --CHADEMA
Mfano;JOHN P. MAGUFULI, SAMNIA SULUHU--CCM
3-Hakikisha unaempigia kura ndie yule ambae unahitaji kumpa kura yako na si vingineyo
Mfano; EDWARD LOWASA, JUMA DUNI --CHADEMA
Mfano;JOHN P. MAGUFULI, SAMNIA SULUHU--CCM
(MUHIMU)
4-Baada ya kuweka tiki kwa mgombea wako uliempigia kura hakikisha hauchafui karatasi ya kupigia kura kwa kuichora au kuandika kitu chochote kwani kwa kufanya hivo utakuwa umeharibu kura yako na utakuwa umejikosesha haki yako ya msingi
MAMBO YA KUYAEPUKA SIKU YA KUPIGA KURA
1-Baada ya kumaliza kupiga kura toka nje bila kubuguzi watu wengine wanaohitaj kupiga kura kama ulivofanya wewe
2-Hakikisha hauvai sare ya chama chochote huenda ikawa ni Chadema, Cuf, Ccm, Act maana kwa kufanya hivo kutaweza kusababisha usipige kura yako na ukawa umejikosesha haki yako ya msingi.
3-Epuka kuweka vikundi katika maeneo ya kupiga kura yenye lengo la kuhamasisha wananhi wenziio wampigie kura mgombea gani.
4-Hakikisha baada ya kupiga kura unakaa mita 100 kutoka eneo ulilopigia kura ili kusubiria matokeo ya uchaguzi uliofanya.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment