BLATER; MIMI NI MSAFI, NA SIMUOGOPI MTU KATIKA SOKA




Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Seph Blatter amesema kwamba yeye ni msafi nai hausiki na kashfa yeyote ya rushwa inayoikabili shirikisho hilo.

blatter ambae ameliongoza shirikisho hilo tangu mwaka 1998 ameliambia shirika la utangaji la uingereza BBC kwamba yeye ni mtu safi, mpole, mwenye haki pamoja na kutomuhofia wowote kwnye tasnia ya soka

Aidha blatter mwenye miaka 79 ameongeza kwa upande wake yeye anajua kile ambacho hajakifanya pia atakili kwa kile ambacho amekifanya kama kitakuwa hakiendani na tasnia ya soka

katika hatua nyingine blaater ameliambia shirika hilo la uingereza ameamua kujiuzulu kwa lengo la kulinda, kusimamia misingi ya shirikisho hilo pamoja na kujilinda mwenyewe kama kiongozi

Seph Blatter ambae ameingoza Fifa kwa miaka 17 huku mwezi akichaguliwa kwa muhula wa tanokuliongoiza shrikisho hilo aliamua kuachia kufuatia maafisa wake saba kukubwa na kasha ,mbaklimbali ikiwenmo ile ya uatakatishaji wa fedha
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment