Masheikh sita wa Kitanzania waliokuwa wameshikiliwa Mateka na watu wasiojulikana nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameachiwa huru leo bila masharti yeyote toka kwa watekaji hao.
Watanzania hao waliotekwa mwanzoni mwa mwezi wa nane walikuwa wakishikiliwa na watekaji katika eneo la Kivu Mashariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kikundi cha watu ambao walikuwa wakishinikiza kulipwa dola 20,000 ili kuwaachia mateka hao.
Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa hakuna kiasi chochote cha pesa kilichotolewa ili kufanikisha kuachiwa kwa masheikh hao ambao wapo katika hali nzuri kiafya na sasa wanaelekea katika mji wa Goma ili taratibu za kusafirishwa kuja tanzania ziweze kufanyika.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
0 maoni:
Post a Comment