Mfanyabiashara maarufu Rostam Aziz ametoa taarifa kujibu madai yaliyotolewa na katibu Mkuu ya Chadema Dk Wilbroad Slaa ambaye katika mkutano wake na waandishi wa habari alidai kutishiwa maisha yake na Bwana Rostam wakati alipotoa orodha ya watuhumiwa wa ufisadi Mwembeyanga
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Bwana Rostam Aziz amekanusha tuhuma hizo na kudai kuwaai kuwa zinadhihirisha wazi hulka aliyodai kuwa ni ya upotoshaji ambao umekuwa ukifanywa mara nyingi na Dk Slaa, na kuongeza kuwa kama kweli angalikuwa ametoa visitisho hivyo inashangaza kwa nini mlalamikaji hakufikisha taarifa hizo polisi.
Aidha Rostam amekanusha kauli ya Dk Slaa kwamba anaisadia Chadema na amemtaka kutoa ushahidi wa suala hilo huku akikumbusha mwaka 2010 Dk Slaa alimtuhumu kuwa yeye, Rais Kikwete na Lowassa walikutana hoteli ya La Kairo Mwanza kupanga njama za kumuibia kura zake. madai ambayo hayakuwa na ukweli

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
0 maoni:
Post a Comment