Mkurugeni mkuu wa Ipp Media Dokta Reginard mengi amewaasa wanasiasa kuangalia lugha na kauli wanazotoa kipindi hiki cha kuelekea uchagyuzi mkuu wa mwezi oktoba mwaka huu.
Dr Mengi ameyasema hayo kupitia ukurasa wa Twitter muda mfupi baada ya aliyekuwa Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dakta Wilbord Slaa kuzungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam kuhusiana na mstakabali wake katika siasa.
"EWE MWANASIASA LINDA ULIMI WAKO ILI ULINDE HESHIMA YAKO. KUMBUKA KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI" alitweet Reginard Mengi
|
|||||||||||||||||
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
|
|||||||||||||||||||
0 maoni:
Post a Comment