MWENYEKITI AKATALIWA MKOANI GEITA


Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Ibolelo kata ya Nyankumbu wilayani Geita Mkoani Geita wamemkataa mwenyekiti  wa mtaa huo kwa madai kuwa    amekuwa hasomi mapato na matumiziya fedha kwa miaka mitano pamoja na kukataa kujenga Ofisi ya mtaa.

Wakizungumza mjini humo kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa na mwenyekiti huyo kujadili mapato na matumizi kwa muda wote uliopita, 

baadhi ya wakazi wa mtaa huo wa Ibolelo wamemlalamikia mwenyekiti huyo kwa madai ya kutoridhishwa na uongozi wake, na kufuatia hali hiyo  Mwenyekiti huyo wa ntaa aliamua kuahirisha mkutano na kutokomea kusikojulikana na muda mfupi baadae wananchi hao kutoa maazimio.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment