TIGO KUSAMBAZA HUDUMA YA 4G ARUSHA,DODOMA,MWANZA, (Pichaz)

Tokeo la picha la TIGO
1850 × 1882 - appablog.wordpress.com


Kampuni ya mitandao ya simu za za mkononi Tigo imejinasibu kuzidi kuwanufaisha wakazi wa jiji la Dar kupitia huduma yake ya 4G LTE kwa kuwa na kasi wakati wa kuperuzi.

Huduma hiyo ambayo itawaunganisha wakazi wa Kinondoni, Temeke, ilala itawanufaisha kutokana na upanuzi wa huduma hiyo   4G LTE kufuatia makubaliano yao yaio waliyifanya na kampuni ya uhuru one kufuatia majaribio yaliyofanywa na kampuni ya simu ya Tigo ikiwemo ongezeko la kasi ya kupereuzi pamoja na kupakua habari kutoka kwenye intarneti.

Hayo yamebainishwa jijini dar es salaam na meneja mkuu Tigo Diego Gutierrez wakati wa uzinduzi wa mtandao huo sambamba na uanzishwaji wa ushirikiano baina ya Tigo na kampuni ya Uhuru One.


huduma hiyo ambayo itasambaza taarifa za kimtandao kwa wateja ambapo faida nyingine ni itaongeza kasi ya kupiga simu kwa njia ya mitandao ya kijamii kaa vile Facebook, whatssap na Skype.

Huduma hiyo iko mbioni kuzinduliwa kwenye mikoa ya Arusha,Dododma, morogoro, Moshi, Mwanza,na Tanga.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment