MAHAKAMA ZATAKIWA KUHARAKISHA KESI ZA UCHAGUZI


Uongozi wa mahakama nchini, umewahimiza majaji wa mahakama kuu kuhakikisha kesi za uchaguzi zinatolewa hukumu kati ya miezi sita hadi nane, na si zaidi ya hapo.

Agizo hilo limetolewa mjini Dodoma na Jaji Kiongozi Shabani Lila, wakati alipokuwa akifungua warsha ya mafunzo kwa majaji wa Mahakama kuu kutoka kanda mbalimbali nchini, ikiwa na lengo la kuboresha uwezo wa majaji hao katika uendeshaji wa kesi za uchaguzi.

Aidha, jaji kiongozi alichukua wasaa huo kuwasihi viongozi wa kisiasa na wagombea wa ngazi mbalimbali za uongozi, kujiepusha uvunjaji wa sheria na taratibu za uchaguzi, ili kuipunguzia mahakama mzigo wa kesi za kuamua, kutokana na uchaguzi kuendeshwa bila ya uhuru na 

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo  
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment