Aliyekuwa katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dk Wilbroad Slaa ametangaza rasmi kuachana na siasa kutokana na kutofautiana na chama chake katika kuwapokea baadhi ya waliokuwa wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM akiwemo mgombea Urais wa chama hichio anayeungwa mkono na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA
Baada ya kuwa kimya tokea mchakato mgombea wa UKAWA kupitia CHADEMA, pamoja na kuanza kwa kampeni za uchaguzi Mkuu dakta Slaa ameibuka na kukituhumu chama chake hakikutekeleza makubaliano ya kuwapokea baadhi ya makada wa CCM akiwemo bwana LOWASSA
Akizungumza na waandishi wa habari jijiji Dsm Dakta SLAA amesema kwamba anasimamia ukweli na kwamba dhamira yake imemfanya ashindwe kumuunga mkono mgombea ambaye amekuwa akimtuhumu kwenye majukwaa
Dakta SLAA amesisitiza kwamba hatahamia chama chochote cha siasa bali ataendelea kutoa mchango wake kwa umma wa watanzania nje ya vyama vya siasa

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
0 maoni:
Post a Comment