Msanii Harmonize aliechini ya menejiment ya WCB wasafi inayongozwa na msanii maarufu Afrika Diamond Platinumz ameonekana kufanya vizuri katika tasnia ya muziki wa afrika kufuatia wimbo wake mpya kuungwa mkono na wasanii maarufu afrika.
SANGUJ ilitembelea kurasa za kijamii za wasanii mbalimbali na maarufu afrika akiwemo K-cee Limpompo, Yemiallade, Emmanyra kutoka nigeria Donald, wa south Afrika pamoja na Navio wa uganda Victoria Kimani wa kenya walionekana wakimpa sapoti msanii huyo anaetamba kwa wimbo AIYOLA.
Sio hao tu SANGUJ ilishuhudia baadhi ya mastaa wa kitanzania akiwenmo Ray, Jackline Wolper, Lulu , na wengine wengi wakimpa sapoti msanii huyo.
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
0 maoni:
Post a Comment