Katika hali isiyokuwa ya kawaida Wachezaji wa timu ya Ndanda ya mtwara hivi karibuni wamegomea kufanya mazoezi kutokana kile kilichodaiwa timu hiyo kukosa fedha za wakuhudumia wachezaji hao
Akiuzngumza na SANGUJ msemaji mkuu wa timu hiyo Idrisa Bandari amesema timu hiyo inakabailiwa na ukata wa fedha kufuatia kutojitokeza kwa kampuni yeyote kuifadhili timu hiyo.
Aidha msemajihuyo amesema kuwa licha ya jitihada nyingi za timu hizo kugonga mwamba lakini bado anatoa wito kwa wadau kujitokeza kusaidia timu hiyo
Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph
0 maoni:
Post a Comment