MAGUFULI;WASANII WA TZ MTAKUWA KAMA WA MAREKANI



Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Joh Pombe Magufuli amewwahdi wasanii wa sanaa mbalimbali wakiwemo wa muziki, filamu, sanaa za uchongaji pamoja na sanaa nyingine kuweza watafaidika katika kipindi chake cha uongozi

Akizungumza wakati ufunguzi wa kampeni wa chama hicho zilizofanyika kwenye uwanja wa jangawani uliopo jijini dar es salaam amesema kuwa endapo watanzania watampa dhamana ridhaa ya kuliomgoza taifa kwa awamu ya tano wasanii wakitanzania watafaidika kupitia kazi zao kama ilivyo kwa nchi za marekani pamoja na nchi nyingne za asia.

Adha magufuli ametoa ahadi yake kwa vijana  kwa kutengeneza nafs mbalimbali za ajira kwa kufufua vna kutengeneza  viwanda mbalimbali hapa nchini.

Pia amgufulli ameahidi kuulinda na kutetea amani ya nchi kana ilivyorithiwa kutoka kwa wa sisi wa taifa hili MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYRERE na AMAN ABEID KARUME
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment