Timu ya mpira wa kikapu ya Jkt Mbweni kwa upande wa wanawake imeendelea na mazoezi yake kwenye uwanja ndani wa taifa ikiwa ni kujiandaa na michuano ya klabu bingwa taifa itakayofanyika mkoani Tabora september 19 mwaka huu
Akizungumza na SANGUJ. kocha msaidizi wa Jkt Mbweni Marry Frank amesema kuwa wachezaji wake wanaerndelea na mazoezi na kuelekea michuano hiyo inayoshirikisha timu mbalimbali kutoka Tanzania atahakikisha anaiwakilisha vema mkoa wa Dar es salaam.
Kwa upande wao wachezaji wa timu hiyo wamesema kuwa kutokana na maandalizi na mafunzo waliyopata kutoka kwa kocha wao watahakikisha wananyakua ubingwa wa michuano hiyo.
Kwa upande wao wachezaji wa timu hiyo wamesema kuwa kutokana na maandalizi na mafunzo waliyopata kutoka kwa kocha wao watahakikisha wananyakua ubingwa wa michuano hiyo.
0 maoni:
Post a Comment