MENDEZ AMSHAWISHI DEGEA KUTIA SAINI YA MIAKA 4 MAN U


Wakala maarufu duniani amefanikiwa kumshawishi mteja wakeDavid Degea kuongeza mkataba wa miaka minne na klabu ya manchester united.ataitumikia klabu hiyo mpaka 2019.

Degea ambae alisalia na mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo hivi karibuni alihushwa kutaka kuondoka klabuni hapo na kuelekea katika klabu ya real madrid lakini ilishindikana kutokana na kuchelkeweshwa kwa baadi ya karatsi

Kwa hatua hiyo Mendez amezidi kuonesha kwamba yeye ni ndie wkala mqwenye ushwaish zaidi duniani baada ya kumshawishi dgea kutia kitanzi hicho cha miaka nne baada ya kufanikisha baadhi ya usajili wachezanji na makocha maarufu duniani akiwepo Cristano Ronaldo,Josee Morinho,

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo 

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment