Mshindi wa shindano la Kisura wa Oriflame mwaka 2013 JESSICA MWAKYULU,amewatolea wito vijana kote nchini kuacha kulalamika na kuchangamkia fursa zinazojitokeza ili kuweza kujikwamua kiuchumi badala ya kukaa na kulalamika.
Mshindi huyo wa shindano la Oriflame mwaka 2013,amesema,imekuwa ni dhana iliyojengeka miongoni mwa vijana nchini kudhani kuwa serikali inaweza ikawajaza pesa na kuwapatia ajira na kusema kuwa dhana hiyo ni potofu kwakuwa serikali imejitahidi kuleta wawekezaji nchini ili kutoa fursa za ajira kwa vijana.
Akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa ofisi za kampuni ya Kimataifa ya Oriflame jijini Dar Es Salaam,amesema biashara ya mtandao inayodaiwa kuwa ni ya taratibu na kwamba hailipi,imewatoa kimaisha vijana wengi wasiokuwa na tamaa ya haraka ya kupata vitu vikubwa visivyo ndani ya uwezo wao.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment