Kuelekea pambano la kesho litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Mashabiki wa soka nchini wametakiwa kutohusiha mchezo huo na itikadi za kisiasa.
Onyo hilo limetolewa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Tff kupitia kwa msemaji wake Barraka Kizuguto wakati akielezea maandalizi ya mechi hiyo inayoteka hisia za wapenzi wengi wa soka wa tanzania.
Kizuguto amesema kuwa maandilizi ya mechi hiyo yameshakamilika ikiwemo kuandaa vyombo vya ulinzi kwa ajili ya usalama wa wapenzi na mashabiki watakaojikeza kushuhudia mchezo huo.
Kuhusu masuala ya siasa, Kizuguto amesema TFF haitarajii mchezo huo ukahusishwa na siasa za kuelekea uchaguzi mkuu hususani kipindi hiki cha kampeni.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph and +255712861292 kwa matangazo
0 maoni:
Post a Comment