BONDIA WA TANZANIA KUPIGANA NA MTHAILAND SEPT 15


Bondia wa Tanzania kupitia ngumi ridhaa Saidi Mundi anatarajia kuelekea nchini Thailand kwa ajili ya mpambano wake dhidi ya bondia nchi hiyo Irrimongkol  Singwangcha utakaofanyika tarehe 15 mwezi huu kwa ajili ya kuwania ubingwa wa uzito wa kati wa asia Pacific.
 
 SANGUJ ilipita katika eneo la Mazoezi ya mwanamasumbwi liliopo keko jijini dsm ilimshuhudia bondia Saidi Mundi akiwa katika mazoezi makali ya ya kujiandaa na mpambano wa raundi 12, licha ya kukabiliwa na changamoto ya vifaa vya kufanyia mazoezi.
 
Akizungumza na SANGUJ  katibu mkuu wa shirikisho la ngumi za ridhaa  Tanzania Pst  Anthony Ruta amesema kuwa bondia huyo wamejiandaa vya kutosha kuhakikisha bondia huyo anaipeperusha vema bendera ya taifa.


Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment