KESI YA GWAJIMA YASOGEZWA HADI OCTOBER 6 MWAKA HUU


Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini dsm,  leo imeanza kusikiliza Ushahidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Mchungaji Josephat Gwajima , katika shitaka la kukutwa na risasi 17 za bunduki aina ya shortgun na bastola moja ikiwa na risasi 3 na kushindwa kutunza katika mazingira salama.

Mbele ya hakimu mkazi Cyprian Mkeha , masahahidi hao ambao ni maafisa wa jeshi la Polisi walielezea mahakama kuwa Bw,Gwajima ambae anamiliki silaha hizo kihalali , alishindwa kuhifadhi katika eneo salama na kukutwa zikiwa kwa watu ambao sio wamiliki halali.

Hata hivyo kesi hiyo iliahirishwa mpaka october 6 mwaka huu, ambapo leo shahidi mmoja tu aliweza kutoa ushahidi.

Usipitwe..Jiunge nami kupitia Facebook ,Twitter , Instagram , Youtube, kwa jina la +Sangu Joseph  and +255712861292 kwa matangazo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment